NDUGULILE ATOA ONYO KWA WATOA HUDUMA ZA MAWASILIANO KUVUJISHA TAARIFA BINAFSI ZA WATEJA
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe, Dkt. Faustine Ndugulile ametoa onyo kwa watoa huduma za mawasiliano nchini kuacha tabia ya kuvujisha taarifa binafsi za wateja kwa kuwadhibiti baadhi ya watumishi wao wasio waaminifu