DKT CHAULA ARATIBU MPANGO MKAKATI WA KUIPELEKA TANZANIA KIDIDITALI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (WMTH) ameratibu Mpango mkakati wa pamoja wa kuipeleka jamii ya Tanzania katika mfumo wa dijitali kwa kuanza na Sekta ya Elimu na Sekta ya Afya ambazo zinaigusa jamii moja kwa moja.