Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Dira &Dhima

Dira

Kuwa na Jamii iliyowezeshwa Kidigitali kwa Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii’

Dhima

'Kuwezesha utoaji wa huduma za uhakika na za gharama nafuu za  Teknolojia ya Habari, Mawasiliano ya simu na Posta kwa kuweka mazingira yanayokuza ubunifu katika kuibadilisha Tanzania kuwa na Uchumi wa Kidigitali’.