Habari
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA G20 PUNE, INDIA
Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya HMTH, Bw. Mohammed Khamis Abdulla unashiriki Mkutano wa G20 Digital Economy Working Group unaofanyika katika mji wa Pune nchini India, Juni 12 - 13, 2023.
Kufuatilia mkutano huo mubashara scan QR code hapo juu na kupata link itakayokupeleka moja kwa moja kwenye Mkutano huo.