Habari
KAMATI YA USHAURI YA WIZARA NA TAASISI ZAKE YAZINDULIWA ARUSHA
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Kamati ya Ushauri “Think Tank” ya Wizara katika Kikao Kazi cha Viongozi wa Wizara na Taasisi zilizo Chini ya Wizara katika Ukumbi wa Hoteli ya Mout Meru, jijini Arusha, Leo Julai 19, 2023.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akikabidhi nyaraka zitakazotumiwa na kamati ya kisera ya wizara( think tank) kwa wajumbe wa kamati ambao ni wenyeviti wa Bodi na wakuu wa Taasisi zilizo chini ya wazara katika Kikao Kazi cha Viongozi wa Wizara na Taasisi zilizo Chini ya Wizara katika Ukumbi wa Hoteli ya Mout Meru, jijini Arusha, Leo Julai 19, 2023.
Naibu Waziri wa Wizara, Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (Mb) anapokea nyaraka za kamati hiyo inayoongozwa na Waziri Nape kwa ajili ya ufuatiliaji.
Baadhi Viongozi wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari pamoja na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo wakishiriki Kikao Kazi cha Viongozi wa Wizara na Taasisi zilizo Chini ya Wizara katika ukumbi wa Hoteli ya Mout Meru, jijini Arusha, Leo Julai 19, 2023.