Katibu Mkuu wa Wizara ya HMTH, Dkt. Jim Yonazi akikabidhi cheti kwa moja wa wahitimu wa mafunzo ya uendeshaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano yaliyotolewa kwa wataalamu mbalimbali kutoka Wizara ya Ulinzi na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) leo Januari 27, 2023 jijini Dodoma
Waziri wa HMTH, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akiwa pamoja na wadau wa mawasiliano wakipanda mti wa aina ya Mtimaji (Mdodoma) wakati alipotembelea na kukagua maendeleo ya jengo jipya la wizara hiyo lililopo katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma leo tarehe 20 Januari, 2023
Waziri wa HMTH, Mhe. Nape Moses Nnauye, Januari 9 2023 amezindua minara mitano ya Mawasiliano ya simu katika Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi. Hafla ya Uzinduzi wa minara hiyo imefanyika katika mji wa Inyonga.
Naibu Waziri wa HMTH, Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (Mb) akizungumza na Wananchi Wilayani Kilombero Mkoa wa Morogoro katika ziara yake ya kukagua miradi ya mawasiliano, ubora na upatikanaji wa huduma za mawasiliano, usikivu wa TBC na uhakiki wa Anwani za Makazi Januari 7, 2023
Naibu Waziri wa HMTH, Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (Mb) akizungumza na kujibu maswali ya wananchi alipozuru katika Kata ya Baleni na Kata ya Mibulani wilayani Mafia kukagua miradi ya mawasiliano, ubora na upatikanaji wa huduma za mawasiliano pamoja na usikivu wa TBC
Naibu Waziri wa HMTH, Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (Mb) akizungumza na kujibu maswali ya wananchi alipozuru katika Kata ya Baleni na Kata ya Mibulani wilayani Mafia kukagua miradi ya mawasiliano, ubora na upatikanaji wa huduma za mawasiliano pamoja na usikivu wa TBC
Waziri wa HMTH, Mhe. Nape Nnauye (Mb) katikati akizungumza Jambo na Mkuu wa Mkoa wa Njombe , Mhe. Antony Mtaka (kushoto) wakati wa uzinduzi wa mnara wa Vodacom katika Kijiji cha Kinenulo kata ya Imalinyi wilayani Wanging'ombe Mkoani Njombe.
WAZIRI- HMTH, MHE. NAPE NNAUYE AKIMKABIDHI VIFAA VYA TEHAMA INSPEKTA JENERALI MKUU WA JESHI LA POLISI, AFANDE CAMILLIUS WAMBURA KWA AJILI YA OFISI YA MASHTAKA YA JESHI LA POLISI TANZANIA
WAZIRI- WHMTH, MHE. NAPE NNAUYE(MB.) AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA TIMU ALIYOAMBATANA NAYO KWENDA KUZINDUA MAWASILIANO YA INTANETI YA KASI KATIKA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO (UHURU PEAK) MITA 5895 KUTOKA USAWA WA BAHARI, TAREHE 13 DISEMBA, 2022.
WAZIRI- WHMTH, MHE. NAPE NNAUYE (KULIA) BAADA YA KUZINDUA MAWASILIANO YA INTANETI YA KASI KATIKA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO (UHURU PEAK) MITA 5895 KUTOKA USAWA WA BAHARI, TAREHE 13 DISEMBA, 2022
WAZIRI- WHMTH MHE. NAPE NNAUYE (KUSHOTO) AKIZINDUA HUDUMA YA INTANETI YA KASI KATIKA MLIMA KILIMANJARO WAKATI WA HAFLA FUPI ILIYOFANYIKA KATIKA GETI LA MARANGU, DESEMBA 9, 2022
KATIBU MKUU WA WIZARA YA BIASHARA NA MAENDELEO YA VIWANDA (SMZ) NDG. ALI KHAMIS JUMA AKISAINI KITABU CHA WAGENI ALIPOTEMBELEA BANDA YA WHMTH KATIKA MAONESHO YA SABA YA BIDHAA ZA VIWANDA TANZANIA, DISEMBA 4, 2022 DAR ES SALAAM
KM-WHMTH, DKT. JIM YONAZI (WA NNE KULIA) AKIPEWA TAARIFA YA MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO LA PAPU JIJINI ARUSHA KUTOKA KWA MSIMAMIZI WA MRADI HUO MHANDISI HANINGTON KAGIRAKI ALIPOTEMBELEA MRADI HUO NOVEMBER 28, 2022 JIJINI ARUSHA
KM-WHMTH, DKT. JIM YONAZ AKIAGANA NA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI KAMPUNI YA MAGAZETI YA SERIKALI (TSN), HAB MKWIZU PAMOJA NA WAJUMBE WA BODI NA MENEJIMENTI YA TSN BAADA YA MAZUNGUMZO OFISINI KWAKE NOVEMBA 24 MJI WA SERIKALI, MTUMBA JIJINI DODOMA.
WAZIRI WA HMTH, MHE. NAPE NNAUYE( KULIA) AKIMKABIDHI ZAWADI YA SAA YENYE MAPAMBO YENYE KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA WAZIRI WA UCHUKUZI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI WA OMAN, MHE. MHANDISI SAEED BIN HAMOUD BIN SAEED AL MAAWALI WAKATI ZIARA YAKE YA KIKAZI NCHINI HUMO LEO TAREHE 23 NOVEMBA, 2022.
NAIBU WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI, MHE. MHANDISI KUNDO MATHEW (WA NNE KULIA) ALIPOTEMBELEA KITUO CHA DATA CHA WINGU AFRICA KILICHOPO JIJINI DAR ES SALAAM, TAREHE 17, NOVEMBA, 2022.
NAIBU WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI, MHANDISI KUNDO MATHEW (KULIA) AKITETA JAMBO NA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI TANZANIA, DKT. AYOUB RIOBA WAKATI WA UFUNGUZI WA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA TBC ULIOFANYIKA NOVEMBA 18, 2022 JIJINI DAR ES SALAAM
NW-WHMTH, MHE. MHA. KUNDO MATHEW(MB) AKIBONYEZA KITUFE KUASHIRIA UZINDUZI WA BIASHARA YA KUVUKA MPAKANI (CROSS BORDER BUSINESS) KATI YA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA NA SHIRIKA LA POSTA KENYA LEO TAREHE 1 NOVEMBA, 2022, NAMANGA JIJINI ARUSHA
NW-WHMTH MHE. MHANDISI KUNDO MATTHEW (KUSHOTO) AKIKABIDHI MFUKO WENYE BARUA KWA POSTAMASTA MKUU WA POSTA TANZANIA, BW. MACRICE MBODO KAMA ISHARA YA KUANZA USAFIRISHAJI WA BARUA NA VIFURUSHI KUTOKA KENYA KUINGIA TANZANIA KUPITIA MPAKA WA NAMANGA
WAZIRI WA HMTH, MHE. NAPE NNAUYE (MB) AKIBONYEZA KITUFE KUASHIRIA UZINDUZI WA PROGRAMU WEZESHI KWA WAJASIRIAMALI VIJANA NA WANAWAKE ILIYOPEWA JINA LA ‘IMBEJU’ KUTOKA BENKI YA CRDB MUDA MCHACHE BAADA YA KUFUNGA KONGAMANO LA SITA(6) LA MWAKA LA TEHAMA, TAREHE 28 OKTOBA, 2022, ZANZIBAR.
WAZIRI WA HMTH, MHE. NAPE NNAUYE (MB) AKIPOKEA HUNDI YA MILIONI 50 KWA AJILI YA KUSAIDIA KAMPUNI 15 CHANGA ZA TEHAMA KUTOKA KWA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB , ABDULMAJID NSEKELA WAKATI WA KONGAMANO LA SITA LA TEHAMA, OKTOBA 28, 2022 ZANZIBAR
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIWA NA RAIS WA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO (DRC) MHE. FÉLIX ANTOINE TSHISEKEDI TSHILOMBO WAKATI WAKISHUHUDIA UWEKAJI SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO BAINA YA TANZANIA NA DRC, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 23 OKTOBA, 2022.
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, MHE. DKT. HUSSEIN ALI MWINYI (KULIA) AKITETA JAMBO NA WAZIRI WA HMTH, MHE. NAPE NNAUYE (MB) MUDA MCHACHE BAADA YA KUZINDUA KITUO CHA TEHAMA KILICHOJENGWA NA UCSAF, OKTOBA 26, 2022 ZANZIBAR
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, MHE. DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AKIZUNGUMZA WAKATI AKIZINDUA MKUTANO WA MWAKA WA TEHAMA (TAIC) LEO TAREHE 26 OKATOBA, 2022 KATIKA UKUMBI WA HOTELI YA HOLDEN TULIP ZANZIBAR
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, MHE. DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AKIPOKEA TUZO YA USHIRIKI BORA KATIKA SEKTA YA TEHAMA NA UCHUMI WA BULUU KUTOKA KWA WAZIRI WA HMTH, MHE. NAPE NNAUYE (KULIA). KUSHOTO NI WAZIRI WA UMU, MHE. DKT. KHALID SALUM
Title | Tarehe | Pakua |
---|---|---|
MUSWADA WA SHERIA YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI | 2022-10-09 | Pakua |
ELIMU YA USALAMA MTANDAO | 2022-10-07 | Pakua |
MWEZI WA UHAMASISHAJI NA UELIMISHAJI WA MATUMIZI SALAMA YA MTANDAO | 2022-10-07 | Pakua |
CYBERCRIME ACT 2015 | 2022-10-07 | Pakua |